Jina, jinsia, mawasiliano na eneo unalotoka.
Tuambie unafanya biashara katika sekta gani.
Eleza unatarajia kupata nini kutokana na safari hii.
Andika kiwanda unachotaka kutembelea nchini China.
Tuambie kama unataka kununua bidhaa ikiwa China.
Soma tena taarifa zako kabla ya kuwasilisha.
Maswali: 0757 823 982